Yanga tulimpa Mayele ukubwa fake

Mnamponda baada ya kuondoka Yanga lakini Mayele ni striker haswa ambaye amesumbua kwenye ligi ya bongo hata kama ana magoli machache,aliwakuta Kagere kwenye prime yake lakini kagere akasahaulika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unalinganisha Kagere na Mayele
Acha ushabiki mkuu
Phri kaja tu kamkimbiza asingeumia angechukua kiatu na alikuwa simba hii mbovu
Mayele ni striker wa kawaida mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli tuache roho mbaya. Mayele kafanya kazi kubwa Yanga, magoli 33 misimu miwili tena yaliyoipa ubingwa Yanga. Magoli sita hadi fainali ya shirikisho kwa nini tumbeze? Yule alikuwa mchezaji bora.
 
Magoli 33 msimu miwili mashindano yote
Ni mchezaji wa kawaida mno
Sasa tutamwona uko Egypt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Yanga damu Mayele alikuwa striker hatari. Ana almost kila kitu anachopaswa kuwa nacho striker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…