nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Wakati sisi tunahangaika kuachana na uswahili nyie ndiyo kwanza mpo busy kumpamba Mzee Kilomoni, haya sasa kazi kwenu na makomnadoo wenu mara wengine wanajipigia debe Ukatibu Mkuu na Usemaji, bado yule jamaa aliyekuwa TFF ambaye siku hizi ni kiongozi wenu hajaanza kuzipiga vizuri maana sijasahau utapeli wa ile nyumba aliyomuuzia mtu Milion 30, natudia tena kazi kwenu
Imeelezwa kuwa kundi la Task Force lililokuwa linahusika na kulinda timu ya Yanga katika michezo mbalimbali limeandika barua ya kuvunja na kujiondoa rasmi katika shughuli hiyo sababu ikielezwa kukosa ushirikiano na uongozi uliopo.
Taarifa imeeleza katika mchezo uliopita kati ya Yanga na Township inaelezwa walipewa kiasi cha shilingi millioni moja na laki saba ili kusimamia mchezo huo baadae wakaja kuambiwa hawatakiwi.