Majamaa watafute kazi za kufanya waache ujanja ujanja kula hela za timu kiboya sasa wakijiita watu wa ulinzi na vyombo vya usalama vina kazi gani na kuhusu hujuma mashirikisho ya mpira si yapo waripot wapatiwe haki ..Waache wajitoe wanapenda kula kwa ubua ukute hata kuchangia ynga hawatak wanataka zichangwe walipwe za ulinzi hiyo ni tabia mbaya sana watu hawatak kaz wanabun vyeo vyao ili watembelee maganda waache kitonga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.