Yanga tuliwaonya hamkusikia. Ona sasa, eti Makomandoo

Majamaa watafute kazi za kufanya waache ujanja ujanja kula hela za timu kiboya sasa wakijiita watu wa ulinzi na vyombo vya usalama vina kazi gani na kuhusu hujuma mashirikisho ya mpira si yapo waripot wapatiwe haki ..Waache wajitoe wanapenda kula kwa ubua ukute hata kuchangia ynga hawatak wanataka zichangwe walipwe za ulinzi hiyo ni tabia mbaya sana watu hawatak kaz wanabun vyeo vyao ili watembelee maganda waache kitonga
 
Mbutembute kapigwa 2-0 na Tanzania Polisi.Makwasukwasu hoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…