Kwa hiyo mlicheza na wapishi ambao wamezoea kukaa kwenye moto muda wote mpaka madhara hayo yawe upande weu tu?Aziz alipaswa kuanza,joto kule mbalali leo ilikua 34°C zaidi ya dar
Uliona Nabi akimwagia maji yule mtoto nkane
Kwani huja notice wachezaji wetu bora leo walikua wazito?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Pesa yenu ilikataliwa.Hii ndiyo sababu.Ilikuwa ni lazima mkutane na upinzani mkali wa kweli.Japo hali ya joto kali inawezekana nayo imechangia uchovu wa wachezaji lakini kweli makosa yamefanyika.
Unakwenda kucheza unbeaten ya 50 namba muhimu kabisa katika rekodi unaanza mchezo na Mauya,Nkane..!
Nje umewaacha Aziz,Moloko,Mzize...
Sijajua matatizo ya benchi la ufundi huwa yanapatwa na nini,
Kosa walilolifanya hata Cameroun jana..kombe la dunia hakuna mechi isiyo muhimu ati kikosi kinaanza mechiya pili bila Vicent aboubakar..! Mchezaji aliyetwaa kiatu cha dhahabu afcon iliyoisha mchezaji aliyesaidia kwa mapama kuifikisha timu qatar!..lakini alivyoingia matokeo yakaonekana.
Turudi kwetu
Nilivyokiona kikosi kilichoanza tu leo nikapatwa na mashaka mno na nikawaambia jamaa huku kuwa kwanini azizi,mzize na moloko waanzie nje?
Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu! Tuliambiwa ataeweza kutufunga, ni MAHAKAMA KUU TUUUUU!Wangeweza kuwepo na timu ikafungwa. Siku ya kufungwa lazima ingefika.
Hapana mkuu! Tuliambiwa ataeweza kutufunga, ni MAHAKAMA KUU TUUUUU!
Mlikiuka Masharti ya mgangaAziz alipaswa kuanza,joto kule mbalali leo ilikua 34°C zaidi ya dar
Uliona Nabi akimwagia maji yule mtoto nkane
Kwani huja notice wachezaji wetu bora leo walikua wazito?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Usajili na ukocha wa mashabikiiWangeweza kuwepo na timu ikafungwa. Siku ya kufungwa lazima ingefika.
Mmeanza porojo zenu sasa, mlifikiri yanga ingecheza bila kufungwa milele? Amuangalii ata mambo ya kiufundi mnalaumu tu, Ratiba ya yanga kusafiri na kucheza mechi 8 ndani ya mwezi mmoja amuioni!? Hao wachezaji ni marobot? Afya za wachezaji zinaatarishwa sana kwa ratiba hii na wale wanaofurahia na wao watakumbana nayo mzunguko wa pili tusije tukasikie fyokofyokoJapo hali ya joto kali inawezekana nayo imechangia uchovu wa wachezaji lakini kweli makosa yamefanyika.
Unakwenda kucheza unbeaten ya 50 namba muhimu kabisa katika rekodi unaanza mchezo na Mauya,Nkane..!
Nje umewaacha Aziz,Moloko,Mzize...
Sijajua matatizo ya benchi la ufundi huwa yanapatwa na nini,
Kosa walilolifanya hata Cameroun jana..kombe la dunia hakuna mechi isiyo muhimu ati kikosi kinaanza mechiya pili bila Vicent aboubakar..! Mchezaji aliyetwaa kiatu cha dhahabu afcon iliyoisha mchezaji aliyesaidia kwa mapama kuifikisha timu qatar!..lakini alivyoingia matokeo yakaonekana.
Turudi kwetu
Nilivyokiona kikosi kilichoanza tu leo nikapatwa na mashaka mno na nikawaambia jamaa huku kuwa kwanini azizi,mzize na moloko waanzie nje?
Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri nimalizie wanzuki yangu ndiyo tutaongea vizuri nikiwa nimelewa.Tulia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaa nawee, vituko vishaanza mjiniKo mbeya kuna joto??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna ghaflaaa sanaa.Hakuna timu isiyo fungwa tunacho jivunia kukaa muda mrefu bila kufungwa. Leo wachezaji walikua wamechoka ki mwili na kiakili siku ya kufungwa ndivyo ilivyo.
The Law of cause and effect.Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.[emoji23]
Ina maana joto lilikua upande wa yanga Tu na sio ihefu au ihefu walivaa AC kupoza joto mbona sababu azieleweki wajameniAziz alipaswa kuanza,joto kule mbalali leo ilikua 34°C zaidi ya dar
Uliona Nabi akimwagia maji yule mtoto nkane
Kwani huja notice wachezaji wetu bora leo walikua wazito?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app