Yanga tumejitakia kufungwa

Yanga tumejitakia kufungwa

Aziz alipaswa kuanza,joto kule mbalali leo ilikua 34°C zaidi ya dar
Uliona Nabi akimwagia maji yule mtoto nkane
Kwani huja notice wachezaji wetu bora leo walikua wazito?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo mlicheza na wapishi ambao wamezoea kukaa kwenye moto muda wote mpaka madhara hayo yawe upande weu tu?

Wachezaji kuwa wazito mbona hata kwenye game yenu na Kagera walikuwa wazito vile vile na bado mlishinda?

Nyinyi mkiifunga timu pinzani hamjawahi kuitafutia sababu ya kijiografia kuwa imepoteza mchezo kwasbabu ya hali ya hewa, huwa mnahitimisha kuwa imekutana na timu kubwa na ndio maana imepoteza

Kongole zinaemda kwa Mayele, na Kocha kuwa hao ndio magwiji

Leo umepoteza wewe, sababu imekuwa joto?

Basi muwe mnaingia na feni uwanjani sasa ili kukwepa visingizio kama hivi
 
Japo hali ya joto kali inawezekana nayo imechangia uchovu wa wachezaji lakini kweli makosa yamefanyika.

Unakwenda kucheza unbeaten ya 50 namba muhimu kabisa katika rekodi unaanza mchezo na Mauya,Nkane..!
Nje umewaacha Aziz,Moloko,Mzize...

Sijajua matatizo ya benchi la ufundi huwa yanapatwa na nini,
Kosa walilolifanya hata Cameroun jana..kombe la dunia hakuna mechi isiyo muhimu ati kikosi kinaanza mechiya pili bila Vicent aboubakar..! Mchezaji aliyetwaa kiatu cha dhahabu afcon iliyoisha mchezaji aliyesaidia kwa mapama kuifikisha timu qatar!..lakini alivyoingia matokeo yakaonekana.

Turudi kwetu
Nilivyokiona kikosi kilichoanza tu leo nikapatwa na mashaka mno na nikawaambia jamaa huku kuwa kwanini azizi,mzize na moloko waanzie nje?

Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Pesa yenu ilikataliwa.Hii ndiyo sababu.Ilikuwa ni lazima mkutane na upinzani mkali wa kweli.
 
Si mlisema nyie kila mchezaji ni amsha amsha imekuwaje.tenaa?.si mnalichekaga benchi la simba wale sub buhahahaha buhahaha buahhaahauhahaha
 
Hapana mkuu! Tuliambiwa ataeweza kutufunga, ni MAHAKAMA KUU TUUUUU!
images - 2022-11-02T190919.502.jpeg

Waliowaambia hawa hapa wanagombana nani alichukua bahasha mbona wahusika wanasema hawajaiona.
 
Hakuna timu isiyo fungwa tunacho jivunia kukaa muda mrefu bila kufungwa. Leo wachezaji walikua wamechoka ki mwili na kiakili siku ya kufungwa ndivyo ilivyo.
 
Japo hali ya joto kali inawezekana nayo imechangia uchovu wa wachezaji lakini kweli makosa yamefanyika.

Unakwenda kucheza unbeaten ya 50 namba muhimu kabisa katika rekodi unaanza mchezo na Mauya,Nkane..!
Nje umewaacha Aziz,Moloko,Mzize...

Sijajua matatizo ya benchi la ufundi huwa yanapatwa na nini,
Kosa walilolifanya hata Cameroun jana..kombe la dunia hakuna mechi isiyo muhimu ati kikosi kinaanza mechiya pili bila Vicent aboubakar..! Mchezaji aliyetwaa kiatu cha dhahabu afcon iliyoisha mchezaji aliyesaidia kwa mapama kuifikisha timu qatar!..lakini alivyoingia matokeo yakaonekana.

Turudi kwetu
Nilivyokiona kikosi kilichoanza tu leo nikapatwa na mashaka mno na nikawaambia jamaa huku kuwa kwanini azizi,mzize na moloko waanzie nje?

Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mmeanza porojo zenu sasa, mlifikiri yanga ingecheza bila kufungwa milele? Amuangalii ata mambo ya kiufundi mnalaumu tu, Ratiba ya yanga kusafiri na kucheza mechi 8 ndani ya mwezi mmoja amuioni!? Hao wachezaji ni marobot? Afya za wachezaji zinaatarishwa sana kwa ratiba hii na wale wanaofurahia na wao watakumbana nayo mzunguko wa pili tusije tukasikie fyokofyoko
 
Kama ni suala la joto basi kila mechi za nyumbani, Ihefu angekuwa anapata matokeo
 
Tatizo injinia na gsm waliona ihefu ni WA mwisho kwenye ligi wakaona Haina haja ja muamala watashinda tu kwa kudhani ihefu ni dhaifu. Nataarifa niliyonayo mwambusi alizima simu wakati mechi inaendelea so wakubwa walivyokuwa wanafanya juhudi watume muamala mwambusi hapatikani hewani🤣🤣🤣🤣🤣. Kwanza tupumzike na unbeaten za mchongo, Sasa tuongelee ubingwa wa msimu huu itakuwaje? C unajua bikira ikishavunjwa wanaofuata ni kujipigia tu
 
Hakuna timu isiyo fungwa tunacho jivunia kukaa muda mrefu bila kufungwa. Leo wachezaji walikua wamechoka ki mwili na kiakili siku ya kufungwa ndivyo ilivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna ghaflaaa sanaa.
 
Kwasasa Yanga tuna anza Moja kushindana na rekodi yetu ya 49 un beaten games. Kwa kutegemea tutapata changamoto kwenye ligi si kweli.
 
Unbeaten 49 ni hatua nzuri. Malengo ni mengi na ni lazima yatimie.
Uchambuzi wa kiuchwara uchwara tupa kule!
 
Aziz alipaswa kuanza,joto kule mbalali leo ilikua 34°C zaidi ya dar
Uliona Nabi akimwagia maji yule mtoto nkane
Kwani huja notice wachezaji wetu bora leo walikua wazito?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ina maana joto lilikua upande wa yanga Tu na sio ihefu au ihefu walivaa AC kupoza joto mbona sababu azieleweki wajameni
 
Back
Top Bottom