Yanga tumejitakia kufungwa

Kwanza unapaswa kusifia unbeaten 49.na mwishowe pia ukubali uchovu umechangia mbali na hayo mapungufu mengine

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Bora wewe umeongea point

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Sio kila siku joto,leo hukumsikia mtangazaji mapema kabla ya mechi akihadharisha joto lile?leo ilikua zaidi ya dar joto

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Ushawahi kufika/kuishi Mbarali mkuu au umeegemea kwenye maneno ya mtangazaji pekee...

Maana kama waijua vizuri Mbaralili na eneo lote la bonde la ufa nyanda za juu, utakuwa wajua namna hali ya hewa ilivyo na uwepo wa joto ni kawaida yake...
 
Pamoja na kifungwa Yanga wameweka record ya Sina yake ambayo itachukua miongo kufikiwa na timu za Bongo 49 UNBEATEN. Ukweli mchungu! Hongera kwenu timu ya wananchi.
 
Kwanza unapaswa kusifia unbeaten 49.na mwishowe pia ukubali uchovu umechangia mbali na hayo mapungufu mengine

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwanza sipaswi kusifia unbeaten ambazo miongoni mwa mechi zilizosababisha mfike umbali huu ziliamuliwa very unfair na waamuzi

Swala la uchovu hatutaki kulisikia nyie si mnakikosi kipana?

Mkiwafunga wengine hamjawahi kutoa sababu kuwa tumewafunga kwasababu ya uchovu au hali ya hewa sio rafiki kwao

Mkifungwa nyinyi hadi tozo mnasingizia kuwa ndio sababu zimewatoa mchezoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…