Yanga tumejitakia kufungwa

Yanga tumejitakia kufungwa

Kwa hiyo mlicheza na wapishi ambao wamezoea kukaa kwenye moto muda wote mpaka madhara hayo yawe upande weu tu?

Wachezaji kuwa wazito mbona hata kwenye game yenu na Kagera walikuwa wazito vile vile na bado mlishinda?

Nyinyi mkiifunga timu pinzani hamjawahi kuitafutia sababu ya kijiografia kuwa imepoteza mchezo kwasbabu ya hali ya hewa, huwa mnahitimisha kuwa imekutana na timu kubwa na ndio maana imepoteza

Kongole zinaemda kwa Mayele, na Kocha kuwa hao ndio magwiji

Leo umepoteza wewe, sababu imekuwa joto?

Basi muwe mnaingia na feni uwanjani sasa ili kukwepa visingizio kama hivi
Kwanza unapaswa kusifia unbeaten 49.na mwishowe pia ukubali uchovu umechangia mbali na hayo mapungufu mengine

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mmeanza porojo zenu sasa, mlifikiri yanga ingecheza bila kufungwa milele? Amuangalii ata mambo ya kiufundi mnalaumu tu, Ratiba ya yanga kusafiri na kucheza mechi 8 ndani ya mwezi mmoja amuioni!? Hao wachezaji ni marobot? Afya za wachezaji zinaatarishwa sana kwa ratiba hii na wale wanaofurahia na wao watakumbana nayo mzunguko wa pili tusije tukasikie fyokofyoko
Bora wewe umeongea point

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Sio kila siku joto,leo hukumsikia mtangazaji mapema kabla ya mechi akihadharisha joto lile?leo ilikua zaidi ya dar joto

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Ushawahi kufika/kuishi Mbarali mkuu au umeegemea kwenye maneno ya mtangazaji pekee...

Maana kama waijua vizuri Mbaralili na eneo lote la bonde la ufa nyanda za juu, utakuwa wajua namna hali ya hewa ilivyo na uwepo wa joto ni kawaida yake...
 
Pamoja na kifungwa Yanga wameweka record ya Sina yake ambayo itachukua miongo kufikiwa na timu za Bongo 49 UNBEATEN. Ukweli mchungu! Hongera kwenu timu ya wananchi.
 
Kwanza unapaswa kusifia unbeaten 49.na mwishowe pia ukubali uchovu umechangia mbali na hayo mapungufu mengine

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwanza sipaswi kusifia unbeaten ambazo miongoni mwa mechi zilizosababisha mfike umbali huu ziliamuliwa very unfair na waamuzi

Swala la uchovu hatutaki kulisikia nyie si mnakikosi kipana?

Mkiwafunga wengine hamjawahi kutoa sababu kuwa tumewafunga kwasababu ya uchovu au hali ya hewa sio rafiki kwao

Mkifungwa nyinyi hadi tozo mnasingizia kuwa ndio sababu zimewatoa mchezoni
 
Back
Top Bottom