Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Ni bahati mbaya Sana waamuzi wanapewa maelekezo kuizuia yanga yenye ubora kila eneo, ingekuwa ni yanga ya wakina yikpe na molinga wangekuwa wanafanikiwa lakini wanakwama kutokana na yanga ya wakina Aziz ki, wanapambana kuiferisha lakini mwisho wa siku wanaangukia pua na aibu juuRejea uzi wa jana usiku hapa kuhusu kupendelewa mnyama na yanga kufanyiwa hujuma za wazi na uonevu,
Sasa mliokua mnapinga nadhani mmeona yaliyotokea mchezo wa leo dhidi ya polisi.na kile ndio nilichokimaanisha na kimetokea.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app