Yanga tumekosa nini?

Ni bahati mbaya Sana waamuzi wanapewa maelekezo kuizuia yanga yenye ubora kila eneo, ingekuwa ni yanga ya wakina yikpe na molinga wangekuwa wanafanikiwa lakini wanakwama kutokana na yanga ya wakina Aziz ki, wanapambana kuiferisha lakini mwisho wa siku wanaangukia pua na aibu juu
 
Atalalamika vp ikiwa ni mnufaika wa uonezi

Anapo kandamizwa yanga ni nafuu kwa nyau alafu Bado wataka sema nyau alalamike tena
Hilo jina la nyau zuri sisi kama Simba wa kimataifa tumelipokea bila shida yoyote.
 
Huyo morrison anafaa kuwa huko kwa wanaopenda kuonekana wameonewa
 
Simba hii hii wanaolalamika Twitter kuwa walirogwa kwenye mechi yao na Yanga wakati wanajua kabisa tatizo ni kukosa mbinu, Simba hii hii inayolalamika kuwa kwenye mechi yao na Yanga refa aliwabeba Yanga! Simba hii hii baada ya kukosa Ngao ya Hisani mara mbili mfululizo mbele ya Yanga, wamemshawishi yule"msomali" Karia abadili mfumo wa mashindano wakifiri watapata nafuu!
 
Haaaaaa sikuwahi kufikiri YANGA, MANARA NA MORISSON inaweza kuwakera watu kwa kiwango mpaka mtu anakuwa kana chizi, Yanga shukilia hapohapo
 
Topolo moja hapa linasema eti Karia alisababisha Mayele akakosa penalty.

Halafu linasema lile goli la Polisi likikuwa la kuotea.
 
Hayo maneno naona unajifariji tu uwezo wa morisson kila mtu anaujua...Kwenye derby faulo aliofanyiwa na kipa ilipaswa kuwa tuta refa akapotezea
Jana katoa assist goli la pili sasa hizi chuki za nini?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Inamuumiza karia
 
Morrison ni tahira kama huyu cheupe dawa wenu wanatanga tanga mpaka yupo saivi kwenye matangazo ya mikopo yaani yanga hawajielewi tokea uongozi hadi washangiliaji .

Sisi simba damu inaonyesha tupo ngangari tunapeta wewe haupo ngangari wababa watu wazima na wajukuu mnabebana uwanjani mmevaa rangi ya mimea.
Mtajua hamjui mpaka mkadoublize mshahara mnono kwa tahira wenu morrison arudi sijui mayele akiotea goli la bahati dah ni shughuli. Halafu hivi mayele ni mvutaji bangi kwa maana akiotea goli anatetemeka nyie mnasema anatetema ni tofauti hii ni dalili ya bangi
 

Hayo matusi ni kwa sababu AMETOKA SIMBA au??
 
Utopolo wote ni hamnazo, kasoro mtu 2 tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Malalamiko FC.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…