GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Nmejisikia aibu kuhusiana na hii habari ya kuwa wapinzani wetu simba wamefungwa bao 7 huko south africa. Nikaangalia hayo matangazo yanayosema hivyo. Ni aibu sana maana hata watu wetu wa IT wanaonekana kutokuwa makini.
Nembo ya team iliyosemwa ni simba ni ya tofaut kama vile haitoshi leo nmeona tena gazeti linasambazwa kwenye mitandao likiwa na habari kama hiyo kuliangalia ni gazeti la mwaka 2015 november ambapo simba haikuwa huko. Na humu JF tumekaa kuidhalilisha yanga kwa kupost uzushi wakizaman na wakitoto
Tukubali hali yetu....wenzetu mwaka huu wanao mkwanja sisi tupambane na hali yetu majungu ya kipuuzi tuachane nayo. Tuiandae team kisaikolojia na si kuhangaika na propaganda za kipuuzi ambazo hazitusaidii wanamichezo.
Gazeti la November 4 mwaka 2015 tusijitafutie aibu. Nmeangalia kwenye mitandao mech zote za royal eagles hamna iliyocheza na simba. Na dunia ya sasa si sawa na ya miaka ya 90s lazima tuelewe hilo.