Yanga tumekuwa kama mwanamke mwenye wivu aliyeachwa na mwanaume aliyempenda sana

Yanga tumekuwa kama mwanamke mwenye wivu aliyeachwa na mwanaume aliyempenda sana

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Nmejisikia aibu kuhusiana na hii habari ya kuwa wapinzani wetu simba wamefungwa bao 7 huko south africa. Nikaangalia hayo matangazo yanayosema hivyo. Ni aibu sana maana hata watu wetu wa IT wanaonekana kutokuwa makini.

Nembo ya team iliyosemwa ni simba ni ya tofaut kama vile haitoshi leo nmeona tena gazeti linasambazwa kwenye mitandao likiwa na habari kama hiyo kuliangalia ni gazeti la mwaka 2015 november ambapo simba haikuwa huko. Na humu JF tumekaa kuidhalilisha yanga kwa kupost uzushi wakizaman na wakitoto

Tukubali hali yetu....wenzetu mwaka huu wanao mkwanja sisi tupambane na hali yetu majungu ya kipuuzi tuachane nayo. Tuiandae team kisaikolojia na si kuhangaika na propaganda za kipuuzi ambazo hazitusaidii wanamichezo.

IMG-20170731-WA0019.jpg

Gazeti la November 4 mwaka 2015 tusijitafutie aibu. Nmeangalia kwenye mitandao mech zote za royal eagles hamna iliyocheza na simba. Na dunia ya sasa si sawa na ya miaka ya 90s lazima tuelewe hilo.
 
Makinikia FC hawanaga akili.

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Yanga fc ni wambea haswa kama wadada wa
uswahilini.
Ila kwa timu Yanga fc bado wana timu nzuri sana na wanaweza kutetea ubingwa wao wa ligi.
Mimi ni Simba damu lakini kusema ukweli nimekipenda kikosi cha watani zetu Yanga fc.
Kina wachezaji wazuri sana.Hongereni kwa usajiri mzuri

Ila acheni maneno ya umbea, mtapakatwa na walevi wa gongo.

Yanga oyee...
Manji juu...
 
7up tangu wajiunge na kifurushi cha wiki povu linawatoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mdada
Yanga fc ni wambea haswa kama wadada wa
uswahilini.
Ila kwa timu Yanga fc bado wana timu nzuri sana na wanaweza kutetea ubingwa wao wa ligi.
Mimi ni Simba damu lakini kusema ukweli nimekipenda kikosi cha watani zetu Yanga fc.
Kina wachezaji wazuri sana.Hongereni kwa usajiri mzuri

Ila acheni maneno ya umbea, mtapakatwa na walevi wa gongo.

Yanga oyee...
Manji juu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzushi hawajambo. FIFA wamebariki uchaguzi uendelee bila Malinzi. Sasa maelekezo kutoka juu kwa marefa kwisha. Acheni mpira uchezwe na si uzushi huu.
 
Back
Top Bottom