YANGA tumesajili mzee

Mimi kama shabiki ndakindaki lia lia wa yanga
Yani tumekosa wachezaji wote tukasajili mzee chama aisee
Tunamengi ya kujifunza kutoka kwa Simba
UBUNTU BOTHO
Wewe kolo acha ujinga.
 
Hahahahhahahaa kila la heri watani, mkaiwakilishe Tz vyema, mkitaka tuwapatie hata Fei toto ni sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…