Yanga tumeuza jezi milioni 1 ndani ya siku moja, lakini wanaoingia uwanjani ni 5% tu wenye jezi mpya

Mlikuwa mnamdanganya Nani? Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani? Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Huu ni upinzani mandazi
 
Mlikuwa mnamdanganya Nani? Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani? Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Kwani umeambiwa jezi hizo 1m zimeuzwa Dar?au ni TANZANIA nzima?kwani unadhani kununua jezi ndio sababu ya mtu kwenda uwanjani?
 
Mlikuwa mnamdanganya Nani?

Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?

Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Hapo bado ungo tu uanze kupaa mida ya usiku.
 
Mlikuwa mnamdanganya Nani?

Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?

Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Kwani jezi ndo tiketi ya kuingia uwanjani? Huu uzi wa kimbumbumbu sana
 
Jezi wamewauzia madalali kwa TZS. 35,000/= na sasa wanaziuza kwa TZS. 50K-60K
 
Kwani jezi ndo tiketi ya kuingia uwanjani? Huu uzi wa kimbumbumbu sana
Ukikomenti kwenye Uzi WA kimbumbu unakuta we ni juha kabisa, ungepigwa kimyaa, lkn sindano imekuingia ndo maana ukaweka comment yako
 
Back
Top Bottom