Yanga tumeuza jezi milioni 1 ndani ya siku moja, lakini wanaoingia uwanjani ni 5% tu wenye jezi mpya

Yanga tumeuza jezi milioni 1 ndani ya siku moja, lakini wanaoingia uwanjani ni 5% tu wenye jezi mpya

Kwahiyo Washabiki na Wanachama wa Yanga wanaoisapoti Timu uwanjani wanashindwa kununua Jezi Mpya lakini Plastic Fans wasioweza hata kwenda Uwanjani kuisapoti Timu yao ndiyo Wanaonunua Jezi Mpya au?
Jibu swali nililokuuliza 👇👇👇
Kwahiyo wanaonunua jezi wote wanaenda kuangalia mpira?
Na hapa swali langu la awali! Hivi nyie watu mmeanza lini kufuatilia soka?! Ni nani alikuambia kwenda bila jezi uwanjani inamaanisha mhusika hana jezi ya timu husika?! Ni nani alikuambia watu wananunua jezi ili wavae uwanjani peke yake?!

Kwa kuangalia population ya Dar, na kwa kuangalia ukubwa Yanga, basi Dar es salaam itakuwa na mashabiki kindakindaki na wenye uwezo wa kwenda uwanjani angalau 1M. Sasa kama uwanja unachukua watu 60K, ulishawahi kujiuliza hao wengine wameangalia mechi kutokea wapi?! Au unadhani jezi zinavaliwa uwanjani peke yake?
 
utopolo wanachekesha sana, wanadai timu yao imefungwa sababu timu haijapata muunganiko. Hii mechi kwani iliitishwa na TFF au Karia, si wameitisha yanga wenyewe kama walijua hawana muunganiko kwanini walicheza si wangesubiri wapate muunganiko.
 
Back
Top Bottom