G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Huu ni upinzani mandaziMlikuwa mnamdanganya Nani? Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani? Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Hahahaha...mliuza jezi Milioni Ndani ya masaa 6, halafu mmeziacha nyumbni mkaja na nzee...Huu ni upinzani mandazi
Kwani umeambiwa jezi hizo 1m zimeuzwa Dar?au ni TANZANIA nzima?kwani unadhani kununua jezi ndio sababu ya mtu kwenda uwanjani?Mlikuwa mnamdanganya Nani? Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani? Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Hapo bado ungo tu uanze kupaa mida ya usiku.Mlikuwa mnamdanganya Nani?
Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?
Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
We! We!We! Muogope Mungu! Hiyo habari mliileta wenyewe kuwa Ndani ya masaa 6, zilikuwa nchi nzima, SASA Kule Mwanza Hadi Jana zilikuwa hazijafikaKwani umeambiwa jezi hizo 1m zimeuzwa Dar?au ni TANZANIA nzima?kwani unadhani kununua jezi ndio sababu ya mtu kwenda uwanjani?
Njoo huku Uwanjani ushuhudie jezi milioniHapo bado ungo tu uanze kupaa mida ya usiku.
Watu wenye akili hawawezi kwenda kivuna corona wataangalia tvHahahaha...mliuza jezi Milioni Ndani ya masaa 6, halafu mmeziacha nyumbni mkaja na nzee...
Kwa hiyo hawa waliokuja hawana akili, wenye akili ni hao mil 1 walionunua jezi na wakaamua kubaki nyumbni?Watu wenye akili hawawezi kwenda kivuna corona wataangalia tv
Labda mlihesabu zilizochukuliwa na wasambazaji, sio washabikiKwani umeambiwa jezi hizo 1m zimeuzwa Dar?au ni TANZANIA nzima?kwani unadhani kununua jezi ndio sababu ya mtu kwenda uwanjani?
Hapo umenena ukweli mkuuLabda mlihesabu zilizochukuliwa na wasambazaji, sio washabiki
Kwani jezi ndo tiketi ya kuingia uwanjani? Huu uzi wa kimbumbumbu sanaMlikuwa mnamdanganya Nani?
Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?
Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Ukikomenti kwenye Uzi WA kimbumbu unakuta we ni juha kabisa, ungepigwa kimyaa, lkn sindano imekuingia ndo maana ukaweka comment yakoKwani jezi ndo tiketi ya kuingia uwanjani? Huu uzi wa kimbumbumbu sana
Nyingi zimeuzwa mikoaniMlikuwa mnamdanganya Nani?
Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?
Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Acha uongo, Mwanza jiji hata Duka la kuuzia hizo jezi halipo, watu wanazisubir bado, labda mikoa ya Dar