Yanga tumpigie magoti Manji.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kuna kila ukweli kuonyesha kuwa changamoto kuu ya Yanga kwasasa ni ukosefu wa udhamini baada ya bw yusuf Manji kuondoka.

Kiungwana tumuombe Bwa Manji ainusuru club ya Yanga kifedha ili iweze kushiriki vizuri mechi zake zilizobaki.
 
Kuna yule mzee mwenye jina linalomsuta, alikuwa na mdomo sana na kujifanya klabu ya babaake...haya hiyo hapo sasa Manji kamuachia aendeshe.

Njaa ikiambatana na ukosefu wa shule, ni shida sana
Mzee Akilimali huyo. Yaani kaumbuka vibaya, alimkataa Manji kununua club matokeo yake sasa hivi Yanga inatembeza bakuli mtaani.
 
Kuna kila ukweli kuonyesha kuwa changamoto kuu ya Yanga kwasasa ni ukosefu wa udhamini baada ya bw yusuf Manji kuondoka.

Kiungwana tumuombe Bwa Manji ainusuru club ya Yanga kifedha ili iweze kushiriki vizuri mechi zake zilizobaki.
Acha upumbavu wako. Ombaomba mpk lini
 
Acha upumbavu wako. Ombaomba mpk lini
Mpumbave mwenyewe, Manji ndo kaleta lwandamina na wote kwenye club ya Yanga wewe ulikuwa wapi na hivi sasa uko wapi?
 
Na hii hali huwa ni kwa tim zote kubwa simba na yanga hapo simba Mo akitikisika utasikia kelele utadhani Coaster ya mbagala imeyumba
 
manji mwenyewe amechacha chakari sku hz.......poleni....ni muda wa kuonja utamu tuliokia tunaupitia wenzenu[emoji16]
 
manji mwenyewe amechacha chakari sku hz.......poleni....ni muda wa kuonja utamu tuliokia tunaupitia wenzenu[emoji16]
Kama hiyo ni kweli basi hata ajira nchini zimepungua, na kama ajira zimepungua lazima hata TRA makusanyo yamepungua pia.
 
Ni kubwa na maarufu pia mkuu ukilinganisha na tim zingine tz kwanza zina umri mkubwa na fun base ya kutosha
Mkuu nafikiri ukubwa wa timu unajumuisha aina bora ya:
  1. Umiliki
  2. Uendeshaji
  3. Miundombinu
  4. Mipango - ya muda mfupi, ya kati na ya muda mrefu
  5. Vitegauchumi
  6. Na kadhalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…