Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Akilimali huyo. Yaani kaumbuka vibaya, alimkataa Manji kununua club matokeo yake sasa hivi Yanga inatembeza bakuli mtaani.Kuna yule mzee mwenye jina linalomsuta, alikuwa na mdomo sana na kujifanya klabu ya babaake...haya hiyo hapo sasa Manji kamuachia aendeshe.
Njaa ikiambatana na ukosefu wa shule, ni shida sana
Acha upumbavu wako. Ombaomba mpk liniKuna kila ukweli kuonyesha kuwa changamoto kuu ya Yanga kwasasa ni ukosefu wa udhamini baada ya bw yusuf Manji kuondoka.
Kiungwana tumuombe Bwa Manji ainusuru club ya Yanga kifedha ili iweze kushiriki vizuri mechi zake zilizobaki.
Timu zetu zinatatizo la kimfumo.Mzee Akilimali huyo. Yaani kaumbuka vibaya, alimkataa Manji kununua club matokeo yake sasa hivi Yanga inatembeza bakuli mtaani.
Kama hiyo ni kweli basi hata ajira nchini zimepungua, na kama ajira zimepungua lazima hata TRA makusanyo yamepungua pia.manji mwenyewe amechacha chakari sku hz.......poleni....ni muda wa kuonja utamu tuliokia tunaupitia wenzenu[emoji16]
ndo hvooKama hiyo ni kweli basi hata ajira nchini zimepungua, na kama ajira zimepungua lazima hata TRA makusanyo yamepungua pia.
Siyo kubwa, sema maarufu.Na hii hali huwa ni kwa tim zote kubwa simba na yanga hapo simba Mo akitikisika utasikia kelele utadhani Coaster ya mbagala imeyumba
Ni kubwa na maarufu pia mkuu ukilinganisha na tim zingine tz kwanza zina umri mkubwa na fun base ya kutoshaSiyo kubwa, sema maarufu.
Mkuu nafikiri ukubwa wa timu unajumuisha aina bora ya:Ni kubwa na maarufu pia mkuu ukilinganisha na tim zingine tz kwanza zina umri mkubwa na fun base ya kutosha
wewe binti vipi?manji hana kitu now dayz