Yanga tuna la kujivunza kutokana na mafanikio ya timu ya Simba

Sio poa mkuu, japo mm ni shabiki wa Simba,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba Mungu na maandalizi vyote vilikuw upande wetu,ila Tz alieturoga sijui ni mganga kutoka wapi yaani timu inacheza na vital watu wanashabikia wageni ili taifa uzalendo ni kuombana chumvi na moto tu ila mambo mengine ni unafiki mkubwa tena wa kuwango cha lami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vibabu vinavyojiita vyenye Yanga yao ndo havitaki mfumo wa kushare hisa za club. Vinanitia hasira kinoma, yaani Mimi wa kulala saa moja kisa Kilipuli!!!

Yaani sisi tunapigwa na Lipuli mtani anamfumua Mkongo!! Dunia haiko fair

Barafu la moto
Barafu la moto swalamaa?? Akilimali anasema anataka uwenyekiti wa club ana mihela mbwa haruki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vzr sana, japo siamini ka wewe mwana Yanga, mana wanayanga wengi wamekalia umbea.
Ila kama wewe mwana Yanga hongera sana kwa kua na akili kubwa kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vibabu vinavyojiita vyenye Yanga yao ndo havitaki mfumo wa kushare hisa za club. Vinanitia hasira kinoma, yaani Mimi wa kulala saa moja kisa Kilipuli!!!

Yaani sisi tunapigwa na Lipuli mtani anamfumua Mkongo!! Dunia haiko fair

Barafu la moto
Dah pole sana mkuu umeandika kwa hasira karibu kwa mnyama upate raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…