Yanga tuna matatizo ya mipira ya kutengwa

Yanga tuna matatizo ya mipira ya kutengwa

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Huu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi.

Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni FC. Hilo siyo jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kuvuka kwa aggregate.

Litibiwe mapema hili tatizo.
 
Huu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi. Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni fc. Hilo sio jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kvuka kwa aggregate. Litibiwe mapema hili tatizo
Achana na yanga yetu wewe kolo, yanga tuna msubiri Al hilal tumpige Kama ngoma kosi la yanga ni Bora sana kwa saivi
 
Huu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi. Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni fc. Hilo sio jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kvuka kwa aggregate. Litibiwe mapema hili tatizo
Unacheza kupata cleansheet au unacheza kupata ushindi?
 
Huu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi.

Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni fc. Hilo sio jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kvuka kwa aggregate.

Litibiwe mapema hili tatizo
Hamna wa kutufunga hapa nyumbani, marefa wapo kwa ajili yetu, hata Karia na timu yake wakitufanyia figisu
 
HII NDYO TIMU ICHEZE NA AL HILAL HAKIKA VICHAA HAWAISHI DUNIAN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Klabu bingwa hatua ya mtoano ili uweze kufuzu kwanza inatakiwa uwe na uwezo wa kutoruhusu goli la away.
Nitajie timu ambayo haifungwi goli , ina maana hao tunao cheza nao wao wamesimama uwanjani wanasubiri kukaba tu hawataki ushindi?
 
Hilo sio tatizo la Yanga tu bali ni tatizo la timu nyingi za Tanzania na Hadi timu yetu ya Taifa Ina tatizo Hilo pia.
 
Nitajie timu ambayo haifungwi goli , ina maana hao tunao cheza nao wao wamesimama uwanjani wanasubiri kukaba tu hawataki ushindi?
Mkuu leo ndio utajua umuhimu wa clean sheet. Ukiruhusu goli unajitengenezea mazingira magumu kwenye mechi ya marudiano. Hatua hii ni hatua ambao unakuwa na kazi mbili kwa pamoja. Kutoruhusu goli na pia kushinda magoli mengi.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Huu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi.

Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni FC. Hilo siyo jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kuvuka kwa aggregate.

Litibiwe mapema hili tatizo.
Huyu jamaa ni Yanga ila mara zote huwa anaongea ukweli penye ukweli, sio wale shabiki maandazi

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu leo ndio utajua umuhimu wa clean sheet. Uliruhusu goli unajitengenezea mazingira magumu kwenye mechi ya marudiano. Hatua hii ni hatua ambao unakuwa na kazi mbili kwa pamoja. Kutoruhusu goli na pia kushinda magoli mengi.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mpira ni kitu cha ajabu sana yoyote anayejiandaa vizuri anapata matokeo popote.

Kuna timu tushaziona zimeshinda ugenini zikaja kutolewa nyumbani hakuna formula eti ukishinda nyumbani magoli mengi na usiporuhusu goli basi umepita.
 
Back
Top Bottom