changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Huu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi.
Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni FC. Hilo siyo jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kuvuka kwa aggregate.
Litibiwe mapema hili tatizo.