🤣🤣🤣 wewe endea kujifariji mwenzio kaongea kisoka wewe unaleta matumaini mtapingwa mpaka mchakaeacha uoga wewe yanga ya sasa level yake ni kucheza EPL, ni tishio sana hayo makosa umeyaona vibaya , al hilal anakufa 5-0 mark my words haina haja ya wana yanga kuwa na wasiwasi
Achana na yanga yetu wewe kolo, yanga tuna msubiri Al hilal tumpige Kama ngoma kosi la yanga ni Bora sana kwa saiviHuu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi. Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni fc. Hilo sio jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kvuka kwa aggregate. Litibiwe mapema hili tatizo
Mkuu upo kishabiki sana badala kufikiria kiufundi timu ina shida kwenye safu ya ulinzi wale Al Hilal sio sawa na Polisi Tanzania, Ruvu na Mbuni fcAchana na yanga yetu wewe kolo, yanga tuna msubiri Al hilal tumpige Kama ngoma kosi la yanga ni Bora sana kwa saivi
Asante man. Watu waoga kinoma. Hivi vijamaa tunavipiga home na away.acha uoga wewe yanga ya sasa level yake ni kucheza EPL, ni tishio sana hayo makosa umeyaona vibaya , al hilal anakufa 5-0 mark my words haina haja ya wana yanga kuwa na wasiwasi
Yanga ipo level nyingine kabisa , Al hilal ni underdogMkuu upo kishabiki sana badala kufikiria kiufundi timu ina shida kwenye safu ya ulinzi wale Al Hilal sio sawa na Polisi Tanzania, Ruvu na Mbuni fc
Unacheza kupata cleansheet au unacheza kupata ushindi?Huu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi. Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni fc. Hilo sio jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kvuka kwa aggregate. Litibiwe mapema hili tatizo
Huyo ni simba anaongea kama kuwakejeli🤣🤣🤣 wewe endea kujifariji mwenzio kaongea kisoka wewe unaleta matumaini mtapingwa mpaka mchakae
Anamkejeli huku anamaumivu moyonHuyo ni simba anaongea kama kuwakejeli
Anajikejeli mwenyeweHuyo ni simba anaongea kama kuwakejeli
Hamna wa kutufunga hapa nyumbani, marefa wapo kwa ajili yetu, hata Karia na timu yake wakitufanyia figisuHuu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi.
Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni fc. Hilo sio jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kvuka kwa aggregate.
Litibiwe mapema hili tatizo
Nitajie timu ambayo haifungwi goli , ina maana hao tunao cheza nao wao wamesimama uwanjani wanasubiri kukaba tu hawataki ushindi?Klabu bingwa hatua ya mtoano ili uweze kufuzu kwanza inatakiwa uwe na uwezo wa kutoruhusu goli la away.
Unawajulia kweli nyani wa pori la Utopoloacha uoga wewe yanga ya sasa level yake ni kucheza EPL, ni tishio sana hayo makosa umeyaona vibaya , al hilal anakufa 5-0 mark my words haina haja ya wana yanga kuwa na wasiwasi
Mkuu leo ndio utajua umuhimu wa clean sheet. Ukiruhusu goli unajitengenezea mazingira magumu kwenye mechi ya marudiano. Hatua hii ni hatua ambao unakuwa na kazi mbili kwa pamoja. Kutoruhusu goli na pia kushinda magoli mengi.Nitajie timu ambayo haifungwi goli , ina maana hao tunao cheza nao wao wamesimama uwanjani wanasubiri kukaba tu hawataki ushindi?
Huyu jamaa ni Yanga ila mara zote huwa anaongea ukweli penye ukweli, sio wale shabiki maandaziHuu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi.
Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni FC. Hilo siyo jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kuvuka kwa aggregate.
Litibiwe mapema hili tatizo.
Mpira ni kitu cha ajabu sana yoyote anayejiandaa vizuri anapata matokeo popote.Mkuu leo ndio utajua umuhimu wa clean sheet. Uliruhusu goli unajitengenezea mazingira magumu kwenye mechi ya marudiano. Hatua hii ni hatua ambao unakuwa na kazi mbili kwa pamoja. Kutoruhusu goli na pia kushinda magoli mengi.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app