Kwenye derby mambo yanakua tofauti sana sio kama mnavyoona yakitokea kwenye mechi nyingine kwa mfano Ally Salim alidaka mechi ya kwanza ya Derby yanga akiwa na striker hatari Africa Mayele alipiga shoot on target moja ya maana akiwa Tena nje ya 18 kama kumbukumbu Zangu zipo Sawa,mechi ya Tanga yanga pamoja na kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa shoot on target ilikua moja au haizidi mbili mechi nzima...mechi ya derby wachezaji wanapandisha sana viwango ndomana Kuna mwaka alifunga zawadi Mauya,Nyoni n.k Chama pamoja na ubora wake mechi za derby yanga Hawampi nafasi ya kucheza akiwa katika ubora wake, maama yangu derby Kuna kukamiana sana ndomana mda mwingine wachezaji wasiotegemewa wanaamua mechi.