Yanga tunae sniper (Azizi Ki) SIMBA mkimkamia MAX na PACOME mmekwisha, mtamtambua mdunguaji wetu

ALLY SALIM akiwepo golini tu ujue Utopolo FC wana goli 1 mkononi.... maana kwa yale mashuti ya Aziz Ki na Kwa jinsi huyo ALLY SALIM anavyowapoozeshea watu mipira naona akina Pacome na Mzize wakisubiria re-bound za kutosha...
 
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana eti game kama ya Simba mtu anazungumzia Nzengeli na Pacome hivi hawa jamaa wanajua mpira kweli au wanahisi kila timu ni Singida big star
 
ALLY SALIM akiwepo golini tu ujue Utopolo FC wana goli 1 mkononi.... maana kwa yale mashuti ya Aziz Ki na Kwa jinsi huyo ALLY SALIM anavyowapoozeshea watu mipira naona akina Pacome na Mzize wakisubiria re-bound za kutosha...
Kwa akili yako unafikiri hii ndio itakuwa mechi ya kwanza Ally Salim kucheza dhidi ya Aziz Ki na Yanga?
Huyo Aziz apige hayo mashuti yake tuone kama atawasaidia kupata hata sare hiyo tar 5
 
Kwa akili yako unafikiri hii ndio itakuwa mechi ya kwanza Ally Salim kucheza dhidi ya Aziz Ki na Yanga?
Huyo Aziz apige hayo mashuti yake tuone kama atawasaidia kupata hata sare hiyo tar 5
Si ndo hapo wanazani kufunga kwa akina kcmc ndo watafunga pote,,,this is simba 💪
 
Nilionya mapema, kafunga mawili katoa assist moja,
 
Huyo Njegele, Aziza na Pocono kule Tanga wakati Utopolo anapokonywa Ngao ya JAMII hawakuwepo?? Wewe huujui Mpira unaongea kishabiki. Jumapili sio mbali subir uone burudani.
Watu wamelizwa uwanjani Leo !!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamka usije kojoa kitandanj
 
Simba imecheza na akina Kahraba na Perci Tau bila kuwakamia, eti omkamie Nzengeli? Mfumo utawakamia, wote watabadilika kuwa wakabaji
Dharau ni kitu kibaya kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
aiseee
 
Yaani PACOME, AZIZ KI na ZENGELI kuwafananisha na KIBU, CHAMA na SAIDO ni kuu-hanithi mpira wa miguu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…