kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nashauri Yanga ibadilishwe,iwe yanga taarab music clubMarefa wanatuonea na TFF.
Pia Simba wamepuliza dawa kwenye chumba cha kupumzikia wachezaji ndio maana coastal wametuzidi sana.
Ila Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marefa wanatuonea na TFF.
Pia Simba wamepuliza dawa kwenye chumba cha kupumzikia wachezaji ndio maana coastal wametuzidi sana.
Ila Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwi kwi kwi kwiiii ππYanga wanapokea wanachopenda wenyewe, walishangilia siku tatu mfululizo sare na Simba hivyo Mweyezi Mungu kaona wanapenda sana sare na yeye bila ya hiyana anawapatia sare kila mechi ili furaha yao ikamilike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi kujamwelewa mtoa post. Hapo anawananga Ndala FC.
πππMarefa wanatuonea na TFF.
Pia Simba wamepuliza dawa kwenye chumba cha kupumzikia wachezaji ndio maana coastal wametuzidi sana.
Ila Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamwingiza Mwenyezi MUNGU Kwenye Utani Wa Kijinga? Tumbaf Gete
Osaya nkoi?Unamwingiza Mwenyezi MUNGU Kwenye Utani Wa Kijinga? Tumbaf Gete