Yanga tunaonewa sana. hadi sasa hatujapata goli Tanga

Yanga tunaonewa sana. hadi sasa hatujapata goli Tanga

Hilo ndilo tatizo lenu kubwa badala ya kurekebisha madhaifu mliyonayo kwenye timu mmekalia kuandama.mnahujumiwa angalieni msije mkateremka daraja mwaka huu
Marefa wanatuonea na TFF.

Pia Simba wamepuliza dawa kwenye chumba cha kupumzikia wachezaji ndio maana coastal wametuzidi sana.

Ila Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji119][emoji119][emoji119]
20200223_181729.gif
 
Nyie Utopolo kila game kwenu ngumu mnakwama wapi? Au Simba, TFF, wanawahujumu eeeh...[emoji23]
 
Back
Top Bottom