Yanga tupo sawa sawa na Vladimir Putin wa Urusi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Sisi yanga tupo sawa sawa na Vladimir Poutine.

Hatuna shobo kama wenzetu
Yaani wao kualikwa kwenye kikao cha caf apo jana imekuwa story kubwa sijui simba kubwa sijui simba hivi.

Sijui yanga ni vinyesi yaani maneno mengi.

ila Tukianza kuwashona ndo mnahanza propaganda zenu sijui league.

Dhaifu hii sijui simba ni kubwa sijui ubingwa wa mchongo yaani maneno mengi kweli

Na ndivyo mtakavyo kuwa kwenye league ya mabingwa si bado mnakariri.

Eti hawa walipigwa na Rivers United.

Sijui kwenye league ya mabingwa hawana lolote
Ila kauli zenu hizi mtazibadirisha sijui mtakuja na kauli gani pale mtakapo ona yanga tunazidi kutoboa anga kiutani utani

Sisi hatuna shobo kama ninyi bwana.

Mnaweza mkapewa mpaka shavu la kucheza uefa champions league na ubingwa wa nyumbani mkakosa
 
Tujikumbushe tu kuwa tangu nabi ajiunge kimba fc hajawahi kushinda mechi yoyote ya kimataifa.
Kimba fc ni kama M23
 
Sisi yanga tupo sawa sawa na Vladimir Poutine.

Hatuna shobo kama wenzetu
Yaani wao kualikwa kwenye kikao cha caf apo jana imekuwa story kubwa sijui simba kubwa sijui simba hivi.

Sijui yanga ni vinyesi yaani maneno mengi.

ila Tukianza kuwashona ndo mnahanza propaganda zenu sijui league.

Dhaifu hii sijui simba ni kubwa sijui ubingwa wa mchongo yaani maneno mengi kweli

Na ndivyo mtakavyo kuwa kwenye league ya mabingwa si bado mnakariri.

Eti hawa walipigwa na Rivers United.

Sijui kwenye league ya mabingwa hawana lolote
Ila kauli zenu hizi mtazibadirisha sijui mtakuja na kauli gani pale mtakapo ona yanga tunazidi kutoboa anga kiutani utani

Sisi hatuna shobo kama ninyi bwana.

Mnaweza mkapewa mpaka shavu la kucheza uefa champions league na ubingwa wa nyumbani mkakosa
Mkisha tushona kama unavyosema mkashinde na mechi za kimataifa sasa
 
Nyani wa pori la Utopolo mumeumia sana.
 
Back
Top Bottom