Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kama kudharaulika tumedharaulika vya kutosha.
Viongozi wa Yanga wakati wa kusimama.pamojasasa Hawa TFF wawe na heshima kwetu.
Tunaomba msikubali cheza na Simba mpaka watujibu kesi zetu zote.
Yanga timu inayojiongoza na heshima yake watujibu kwanza; barua zote zile kesho mtasikia na za timu zingine zikijibiwa.