Ule mpango wenu wa kuhamia Zanzibar uliishia wapi nyie vibudu wa Utopolo?Kama kudharaulika tumedharaulika vya kutosha.
Viongozi wa Yanga wakati wa kusimama.pamojasasa Hawa TFF wawe na heshima kwetu.
Tunaomba msikubali cheza na Simba mpaka watujibu kesi zetu zote.
Yanga timu inayojiongoza na heshima yake watujibu kwanza; barua zote zile kesho mtasikia na za timu zingine zikijibiwa.
Kama kudharaulika tumedharaulika vya kutosha.