ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Unafikiri kila mchezaji anayetakiwa na Yanga na yeye pia anaitaka Yanga? Kuna klabu zinataka wachezaji, na kuna klabu zinatakiwa na wachezaji. El Mereikh ni matajiri kuliko Yanga, atoke Marekani aende Afghanistan?Benchi la ufundi,uongozi na scouts wetu wa Yanga hebu tujaribu fanya mawasiliano na yule mchezaji beki rasta wa timu hii ya Sudan el Mereikh,hakika atatufaa sana kuimarisha ukuta kule nyuma
Kocha mliyenaye katoka El Merreik kaja kuifundisha Simba, ndio kusema Simba ina pesa zaidi ya El Merreik?Unafikiri kila mchezaji anayetakiwa na Yanga na yeye pia anaitaka Yanga? Kuna klabu zinataka wachezaji, na kuna klabu zinatakiwa na wachezaji. El Mereikh ni matajiri kuliko Yanga, atoke Marekani aende Afghanistan?
Mlipeni kwanza Tambwe na SibomanaBenchi la ufundi,uongozi na scouts wetu wa Yanga hebu tujaribu fanya mawasiliano na yule mchezaji beki rasta wa timu hii ya Sudan el Mereikh, hakika atatufaa sana kuimarisha ukuta kule nyuma.
Ni matumaini yangu yule mtu kama akisimama na Lamine hakuna paka yeyote atakayekatisha,hebu tumwangalie tena leo vizuri hapo saa kumi kwenye dimba la mkapa wengi mtakubaliana nami kua yule mtu atatufaa sana wananchi.
Unauliza jibu! sio pesa tu hua wachezaji wazuri wanaangalia malengo ya team husika mpaka sasa ukiulizwa malengo ya utopolo ni yapi ? Utakosa jibu team ipo ipo tu ,nyie suburin wachezaji kama kina sarpong na wengine wa level hiyoKocha mliyenaye katoka El Merreik kaja kuifundisha Simba, ndio kusema Simba ina pesa zaidi ya El Merreik?
Hilo liko waziKocha mliyenaye katoka El Merreik kaja kuifundisha Simba, ndio kusema Simba ina pesa zaidi ya El Merreik?
Umechelewa kujua, kama kweli ulikuwa hujui... ndio kusema Simba ina pesa zaidi ya El Merreik?
Malengo ya Utopolo FC ni kuchukua bingwa, Ila wanaweza kujikuta nafasi ya tatuUnauliza jibu! sio pesa tu hua wachezaji wazuri wanaangalia malengo ya team husika mpaka sasa ukiulizwa malengo ya utopolo ni yapi ? Utakosa jibu team ipo ipo tu ,nyie suburin wachezaji kama kina sarpong na wengine wa level hiyo
Tunafeli vipi?si ni nyie mnaokosa usingizi sababu ya yanga siku zote?nyie mnatengaga fungu maalum kwa ajili ya kumvurugia Yanga tu mambo yakeYani mnafeli kuanzia viongozi,wachezaji,mashabiki mpaka threads zenu mnafeli.
Kipindi mnahela hamkuivuruga simbaTunafeli vipi?si ni nyie mnaokosa usingizi sababu ya yanga siku zote?nyie mnatengaga fungu maalum kwa ajili ya kumvurugia Yanga tu mambo yake
Mfano tu mchezaji Morrison
Ulichosahau ni kua kocha anaweza kufukuzwa lakini mchezaji muhimu hawezi kufukuzwa na pia mshahara wa kocha unaweza ukawa wa kawaida ila wachezaji ukawa mkubwa ....Kocha mliyenaye katoka El Merreik kaja kuifundisha Simba, ndio kusema Simba ina pesa zaidi ya El Merreik?
Mnaweza mkatenga nanyi pia, si mnajiona tuko level moja?Tunafeli vipi?si ni nyie mnaokosa usingizi sababu ya yanga siku zote?nyie mnatengaga fungu maalum kwa ajili ya kumvurugia Yanga tu mambo yake
Mfano tu mchezaji Morrison
Hela ipoHela mnayo ya kumtoa mchezaje club kubwa kama Merikh, tena akiwa kwenye ubora wake? Subirini akiishiwa kiwango kiasi cha kutostahili namba pale Merikh, kama ilivyokuwa kwa Mkoko na Vita Club ndo muende.
Sasa mbona Tambwe, Sibomana, Zahera na Kaze wanawadai?Hela ipo
Benchi la ufundi uongozi na scouts wetu wa Yanga hebu tujaribu fanya mawasiliano na yule mchezaji beki rasta wa timu hii ya Sudan el Mereikh, hakika atatufaa sana kuimarisha ukuta kule nyuma.
Ni matumaini yangu yule mtu kama akisimama na Lamine hakuna paka yeyote atakayekatisha, hebu tumwangalie tena leo vizuri hapo saa kumi kwenye dimba la mkapa wengi mtakubaliana nami kuwa yule mtu atatufaa sana wananchi.
Simba ana time na Yanga ambao ndo kwanza wanaandaa pahala pa kulala wachezaji.Tunafeli vipi?si ni nyie mnaokosa usingizi sababu ya yanga siku zote?nyie mnatengaga fungu maalum kwa ajili ya kumvurugia Yanga tu mambo yake
Mfano tu mchezaji Morrison
Weee nafasi ya 3 nilimsikia Kocha anaitaka Biashara UnitedMalengo ya Utopolo FC ni kuchukua bingwa, Ila wanaweza kujikuta nafasi ya tatu