Yanga tusimuache yule beki ya El Merreikh

Yanga tusimuache yule beki ya El Merreikh

Benchi la ufundi uongozi na scouts wetu wa Yanga hebu tujaribu fanya mawasiliano na yule mchezaji beki rasta wa timu hii ya Sudan el Mereikh, hakika atatufaa sana kuimarisha ukuta kule nyuma.

Ni matumaini yangu yule mtu kama akisimama na Lamine hakuna paka yeyote atakayekatisha, hebu tumwangalie tena leo vizuri hapo saa kumi kwenye dimba la mkapa wengi mtakubaliana nami kuwa yule mtu atatufaa sana wananchi.
Towenu pesa. Clabu aina pesa nategemea fedha za mtu GSM.
 
Unauliza jibu! sio pesa tu hua wachezaji wazuri wanaangalia malengo ya team husika mpaka sasa ukiulizwa malengo ya utopolo ni yapi ? Utakosa jibu team ipo ipo tu ,nyie suburin wachezaji kama kina sarpong na wengine wa level hiyo
Simba haina hata mia, ndio maana mkizengua Mo anasema anajitoa. Simba haina pesa wala haina mipango, ila kilichopo ni MO (not club) anayejipangia. Mlichofanikiwa kwenye mipango ni kusingizia timu pinzani kuwa na corona.
 
lakin simba wameshinda. haijalish wameshindaje. wameshinda
 
Tunafeli vipi?si ni nyie mnaokosa usingizi sababu ya yanga siku zote?nyie mnatengaga fungu maalum kwa ajili ya kumvurugia Yanga tu mambo yake
Mfano tu mchezaji Morrison
Ndio maana kasema hata mashabiki mnafel hamjielewi. Au hakusema hiyo?
 
Back
Top Bottom