nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Tatizo ni makambo ndio kamuomba ajibu asajiliweUkitafakari sana mambo ya yanga yanaumiza sana.
Mpaka lini itakuwa kichwa mwendawazimu?
Huyu Ajib safari ndiyo atajituma kikamilifu kuliko nyakati za nyuma,viongozi was yanga kimewavutia nini kwa Ajib?
Mbona wachezaji wazuri wapi wengi tu!
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app