Yanga tutakuwa kichwa cha mwendawazimu hata lini,hivi hakuna wachezaji wazuri kuliko Ajib?

Yanga tutakuwa kichwa cha mwendawazimu hata lini,hivi hakuna wachezaji wazuri kuliko Ajib?

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,946
Reaction score
2,932
Ukitafakari sana mambo ya yanga yanaumiza sana.
Mpaka lini itakuwa kichwa mwendawazimu?

Huyu Ajib safari ndiyo atajituma kikamilifu kuliko nyakati za nyuma,viongozi was yanga kimewavutia nini kwa Ajib?
Mbona wachezaji wazuri wapi wengi tu!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ajibu mvivu akatafuta chaka sehemu nyingine, ndio Makambo alikuwa mzuri,ila Makambo kwangu naona tumemsajili kiushabiki.
 
Leo siku ya Manara, Mambo ya Ajib Yanga hayawahusu.
 
Wamchukue tu.
Kwani kama wameweza kumuacha Yusuph Mhilu anaenda Simba kuna foward gani mbongo zaidi ya Boko anaweza kumkaribia Mhilu.
Unaenda kumchukua mtu anamagoli 3 kisa bei chee.
Ni upumbavu tu. Hatuna wachezaji wazawa wanaoweza kushindana.
Hata Yakuba nimchezaji wa kawaida sana na siyo tegemeo kwa mechi ngumu.
 
Ukitafakari sana mambo ya yanga yanaumiza sana.
Mpaka lini itakuwa kichwa mwendawazimu?

Huyu Ajib safari ndiyo atajituma kikamilifu kuliko nyakati za nyuma,viongozi was yanga kimewavutia nini kwa Ajib?
Mbona wachezaji wazuri wapi wengi tu!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Tatizo ni makambo ndio kamuomba ajibu asajiliwe

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom