Yanga tutawapa surprise Marumo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982

Yanga twende kuwapa marumo surprise ambayo hawakutegemea. Maana kwenye akili zao wanafikiri Yanga wataenda na mpira wa kuzuia tu na kupoteza dakika, lakini naamini tunaweza kuwapiga nje ndani.

Kwa Yanga hii ni bora ucheze nao mpira wa kupaki na kufanya conter attack pale wanapokuwa wamepanda juu. lakini ukifanya kiherehere cha kutaka kuwashambulia huku ukiwa umeacha mabeki wa tatu au wanne nyuma imekula kwako.
 
Kama mmepigwa goli mbili ndani ya dakk5 na dodoma jiji sembuse kule kwa Madiba ambapo uwanja utajaa

Haya tutaona sapraisi naona mmelewa sifa Uto
 
1. Mkiwatoa kwenye mashindano.

2 .Mkiwafunga Malumo nyumbani KWAO.

Nashindwa hata niahidi nini lakini ni ngumu mno kuwafunga wale jamaa.
 
Kwa sasa Yanga ndiyo timu bora zaidi East and Central Africa, ipo nafasi ya 9 kwa Afrika na 104 kidunia.

Kama mmepigwa goli mbili ndani ya dakk5 na dodoma jiji sembuse kule kwa Madiba ambapo uwanja utajaa

Haya tutaona sapraisi naona mmelewa sifa Uto
Dodoma ndo uchafu gani!
watu tunazungumzia mamb makubwa we unalet mambo za dodoma
 
2-1 ... Yanga imepita
 
Kama mmepigwa goli mbili ndani ya dakk5 na dodoma jiji sembuse kule kwa Madiba ambapo uwanja utajaa

Haya tutaona sapraisi naona mmelewa sifa Uto
Marumo labda wakodi mashabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…