kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Yanga twende kuwapa marumo surprise ambayo hawakutegemea. Maana kwenye akili zao wanafikiri Yanga wataenda na mpira wa kuzuia tu na kupoteza dakika, lakini naamini tunaweza kuwapiga nje ndani.
Kwa Yanga hii ni bora ucheze nao mpira wa kupaki na kufanya conter attack pale wanapokuwa wamepanda juu. lakini ukifanya kiherehere cha kutaka kuwashambulia huku ukiwa umeacha mabeki wa tatu au wanne nyuma imekula kwako.