ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
TFF wamejipanga Simba awe bingwa mbele ya Yanga imara
TFF Leo wametumika kamati zake kumfungia Ally Kamwe miaka 2 kutokujihusisha na soccer
Hili ni jambo baya na uhuni wa wazi, Ahmed Ally aliyetamka kuwa adui wa Simba ni Yanga akiachwa huru kuzidi kuzua taharuki
Kuelekea derby TFF inamfungia msemaji wa Yanga ambaye ndo mwenyeji wa mechi ili kushusha hamasa na Yanga ikose mapato na ipoteze mchezo
TFF mmewabeba Simba mmewapa penalties za uongo
Wapinzani wamepewa red card ♦️ za ajabu nyingi.
Soma Pia: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally aachiwa huru na TFF
TFF wamehujumu mechi za Simba dhidi ya Tabora United na kuwachezesha wachezaji dhaifu kwakuwa Tabora United walicheleweshewa vibali
TFF walifanya hivo mechi dhidi ya Simba na Fountain Gate
TFF acheni acheni upendeleo acha bingwa apatikane Kwa uwazi
Naamini Eng Hersi Said ni kiongozi makini najua ashalitatua hili tatizo hata kabla halijatokea
Kwa hasira hizi Yanga tunaenda kushinda hii derby, hata kama Simba akashirikiana na TFF msimu huu hapati ubingwa