Yanga tuwe imara, TFF inawaandalia ubingwa Simba Kwa kuinyongonyeza Yanga

Wenye akili ni wawili tu huko Utopoloni - Mzungu Manara
 
Nikajua jana ulisesema haiwezekani Ally Kamwe kufungiwa?
 
Hawa watu hata hawajistukii wanaonesha mapenzi yao waziwazi, na sasahivi wanaitumia crown fm na baadhi ya redio kushinikiza wanachokifanya kionekane sahihi, haiwezekan wasemaji wa Yanga tu kila msimu wanafungiwa tena zikikaribia mechi muhim!
 
Hakika mkuu
 
KwaniAli kamwe anacheza namba ngapiyanga?...acheni ujinga!
 
Kwahiyo ally kamwe ndo straiker tegemewa pale nyuma mwiko siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…