samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Hawa marefa waliocheza Yanga u20 na mtibwa hawana weledi kabisa.lile goli haikuwa offside kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa marefa waliocheza Yanga u20 na mtibwa hawana weledi kabisa.lile goli haikuwa offside kabisa
hata huku nako tayari malalamiko?????Hawa marefa waliocheza Yanga u20 na mtibwa hawana weledi kabisa.lile goli haikuwa offside kabisa
Mfa maji........Hawa marefa waliocheza Yanga u20 na mtibwa hawana weledi kabisa.lile goli haikuwa offside kabisa
Kwahiyo Karia anahusika?Kwanza Penalty waliopewa Mtibwa haikua Sahihi mchezaji akiwa ameanguka chini na mpira ukamgusa mkononi sio Penalty kwakua Ile mikono kwa muda ule ilikua lazima iwe chini ili ajizuie na haku ushika ili au zuie usichezwe, Pili Yanga walistahili wapewe penalty kipindi Cha Pili baada ya mchezaji wa Mtibwa kuushika mpira katika piganikupige langoni mwa Mtibwa, Tatu goli la Yanga lililo kataliwa lili kua sahihi kwakua mfungaji hakua ameotea, na ili mchezaji awe ameotea Inabidi aucheze au aonyeshe dalili za ku ucheza Ila kabla ya kutaka kufanya hivyo goli likafungwa. Kwa ujumla Marefa Wana viwango vya chini Sana.
Yanga walicheza Kama Yanga halisi Ila bahati aikua yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata huku nako tayari malalamiko?????
Karia ana matatizo yake Ila kwa Yale maamuzi ya Jana ningumu kumhusisha Karia. Kwasasa ukiondoa matatizo ya kibinadamu Marefa wa bongo Kuna muda maamuzi yao uwanjani unashindwa kuelewa kwamba hawajui wanacho kifanya au wamekula rushwa!!Kwahiyo Karia anahusika?
Walikuwa bora kipindi cha kwanza. Ila kwa kipindi cha pili, Yanga walikuwa bora zaidi ya Mtibwa!Dole fc acheni kulialia...Mtibwa walikuwa bora kuwazidi