Yanga U20 wanyimwa goli la wazi kabisa

Yanga U20 wanyimwa goli la wazi kabisa

Kwanza Penalty waliopewa Mtibwa haikua Sahihi mchezaji akiwa ameanguka chini na mpira ukamgusa mkononi sio Penalty kwakua Ile mikono kwa muda ule ilikua lazima iwe chini ili ajizuie na haku ushika ili au zuie usichezwe, Pili Yanga walistahili wapewe penalty kipindi Cha Pili baada ya mchezaji wa Mtibwa kuushika mpira katika piganikupige langoni mwa Mtibwa, Tatu goli la Yanga lililo kataliwa lili kua sahihi kwakua mfungaji hakua ameotea, na ili mchezaji awe ameotea Inabidi aucheze au aonyeshe dalili za ku ucheza Ila kabla ya kutaka kufanya hivyo goli likafungwa. Kwa ujumla Marefa Wana viwango vya chini Sana.
Yanga walicheza Kama Yanga halisi Ila bahati aikua yao.
 
Kwahiyo Karia anahusika?
 
Kwahiyo Karia anahusika?
Karia ana matatizo yake Ila kwa Yale maamuzi ya Jana ningumu kumhusisha Karia. Kwasasa ukiondoa matatizo ya kibinadamu Marefa wa bongo Kuna muda maamuzi yao uwanjani unashindwa kuelewa kwamba hawajui wanacho kifanya au wamekula rushwa!!
 
Dole fc acheni kulialia...Mtibwa walikuwa bora kuwazidi
Walikuwa bora kipindi cha kwanza. Ila kwa kipindi cha pili, Yanga walikuwa bora zaidi ya Mtibwa!
Na ushahidi wa hili ninalosema, ni kitendo cha Yanga kusawazisha magoli yote mawili waliyofungwa kipindi cha kwanza.

Ni kwa sababu tu mwamuzi wa mchezo alitikisa masikio yake! Lile goli lilikuwa halali kabisa. Mchezaji aliyefunga alitokea nyuma kabisa, na hakukuwa na ushahidi unaojitosheleza wa kuonesha yule mchezaji aliyekuwa eneo la kuotea aliuingilia mpira moja kwa moja.

Siku chache zilizopita, KMC walifungwa goli ambalo mchezaji wa timu pinzani alimziba kabisa Juma Kaseja, lakini mwamuzi aliweka mpira kati. Hizi double standard ndizo zinazo changia waamuzi wetu kuonekana kama kituko machoni mwa wapenda soka.
 
Back
Top Bottom