Yanga ubingwa wa Tanzania wa nini kama mashindano ya kimataifa huwezi

Kwani timu IPI imeleta kombe la Africa bongo? Jitahidini mkacheze nyie mikia sio kulalama tu wakati Mpira hamuwezi
 
we unazan unacheza na toto africa kule????pia mbn kuna wengine kama simba mwaka wa nne huu wanatembelea basi la youtong akipanda ndege ujue anafungwa kama mechi ya africalyon.
 
Nyumbani kuna baba mtaani kuna balozi wilayani kuna DC mkoani kuna RC. Chuki siku zote huumiza kuliko ugonjwa hapo bado wanaongoza ligi lakini tayari kimuhemuhe hakiwaishI wanajua tunakuja kuchukua nafasi yetu ndio maana kuna threads za kufikirika kama ooh simba tunahujumiwa mara wachezaji wanataka kugoma hawajalipwa mishahara yote hayo ni maiti ya kiswahili huwa haikosi sababu tuwavumilie tu.
 
Kwa hiyo unashauri wajifungishe mechi zilizobakia ili Simba awe bingwa?? Ninyi kipi cha maana ambacho mmeshakifanya??
Atakuambia wameshiriki fainali CUF..


Utadhani kushiriki fainali ndio Mafanikio.
 
Mara ya mwisho walifungwa na LIBORO nje ndani..
 
Simba ligi Kuu VPL yanini wakati mna miaka zaidi ya 10 hata nafasi yapili hamshiki, si bora muwaachie majimaji ya Songea wanalizombe walau wanaweza kuonesha mabadiliko kuliko nyie mlizoea matopeni.
 

Kutoka Tanzania ni timu iliwahi kuchukua ubingwa Afrika?

Kwako mafanikio ni nini hasa?

Kama unaenda Kigoma, haijalishi kama utaishia Morogoro au Tabora. Hujafika Kigoma bado. Get that into your head.

Kuiwakilisha nchi siyo sadaka. Lazima ushinde kwanza hapa nyumbani. Kama wanashinda Yanga na Azam maana yake ndiyo bora Tanzania na wataendelea kuiwakilisha nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…