Yanga uso Kwa uso na Tp Mazembe Final CACL

Bin S

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
212
Reaction score
366
Hongera Yanga SC, hongera Tanzania. Kutoka kwenye msitu wenye zaidi ya miaka 200, imekwisha onekana Yanga atakutana na Tp Mazembe kwenye final match ya CACL.

Safari ya mbali haiagwi.
 
Sisi Mamelody Tumetumia sana kupangwa na Young Africans, tunaweza tusifike nusu finali
 
andaeni tu mavirago yenu mambumbu FC ila msiwaze mwakani mtapangiwa ASEC Robo fainali
 
TIMU ZENU HUENDA ZOTE ZIKAISHIA ROBO FAINALI........

HIZI NDIO FAIDA ZA SIASA KWENYE MPIRA NA CHUPLI CHUPLI ZA UWEKAZAJI BANDIA WA AKINA MO......

SIMBA NA YANGA ZOTE OUT
 
Naamini hii post itakuja kuthibitika Baada ya Yanga kucheza final na Mazembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…