mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Punguza hasira najua hata hizi droo na yule Mtembea na Mpira vyote vinakuudhi angalia hali ya Kaunda Sports Centre#Mikia mnaongoza kuizungumzia yang kuliko #nugazi isemeni #simba yenu
Hii picha ya lini?Punguza hasira najua hata hizi droo na yule Mtembea na Mpira vyote vinakuudhi angalia hali ya Kaunda Sports CentreView attachment 1367911
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga picha mpya. Halafu mbona mikia kutwa kwenye jengo la Yanga wakati lenu mnafupia pale popo. Pale Msimbazi ukipita unaweza kulia machozi mekundu kwa majengo ya simba yalivyochakaa. Kama unabisha aliye karibu na Msimbazi hapo apige picha ilo tufananishe.Punguza hasira najua hata hizi droo na yule Mtembea na Mpira vyote vinakuudhi angalia hali ya Kaunda Sports CentreView attachment 1367911
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza hasira najua hata hizi droo na yule Mtembea na Mpira vyote vinakuudhi angalia hali ya Kaunda Sports CentreView attachment 1367911
Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wanafuga vitambi tu pale, siku zinaenda hamna kipya walichokifanya. GSM wanapambana kuisaidia yanga isimame ili plan zao za kuuza bidhaa za yanga zisifeli, timu ya under 17 jez za mazoez hawana, mipira utata, watoto wanatia huruma wale...wao ni wanachokijua ni kuunda kamati tu...mambo ya kamati yashapitwa na wakati. Watu wasomi ila hawana strategies za kuinufaisha timu.Hakika Yanga yenye Umri wa miaka 85 kila mmoja wetu angeamini ilipaswa iwe na Mafanikio Makubwa sana lakini ni kinyume chake.Yanga bado ipo kwenye Mfumo wa kizamani cha Uongozi.,Yanga imeshindwa kabisa kuujenga upya Uwanja wake wa Kaunda licha ya kuwa nao miaka kadhaa,Jengo la Yanga halijafanyiwa Ukarabati toka lilopojengwa,Rangi zimepauka,Jengo limechoka na kuchakaa.Tunaushauri Uongozi wa Yanga fanyieni Ukarabati jengo lenu linakera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app