mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Hakika Yanga yenye umri wa miaka 85 kila mmoja wetu angeamini ilipaswa iwe na mafanikio makubwa sana lakini ni kinyume chake. Yanga bado ipo kwenye mfumo wa kizamani cha uongozi. Yanga imeshindwa kabisa kuujenga upya uwanja wake wa Kaunda licha ya kuwa nao miaka kadhaa, jengo la Yanga halijafanyiwa ukarabati toka lilopojengwa, rangi zimepauka, jengo limechoka na kuchakaa.Tunaushauri uongozi wa Yanga fanyieni ukarabati jengo lenu linakera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app