Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Bi hindu fc
Hujui mpira kaa kimya unatia aibu sanaHii inaonyesha jinsi yanga ilivyoshuka. Yaani inaifunga Mtibwa tena wakiwa nyumbani alafu watu wanakenua na kufurahi kama kitu cha ajabu sana. Inasikitisha!
Huyu ni sawa na Yule wa Sadam Hussein ni rais wa Libya.Watalokota kunyavu Yanga 2 Mtibwa 1
Ona mwenywMsimamo wa Ligi ukoje mpk sasa wadau ,hebu mtuwekee hapa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Swadakta
Vipi pressure ilipanda kidogo?Aiseeee. Amenifurahisha Kakolanya
Uturuki singeļiHii inaonyesha jinsi yanga ilivyoshuka. Yaani inaifunga Mtibwa tena wakiwa nyumbani alafu watu wanakenua na kufurahi kama kitu cha ajabu sana. Inasikitisha!
Septemba 30 Aisha Manula lazima amjue huyo mutu ya Kongo! Ila Feisal Toto ni sukari sana yule bwana mdogoMaka.mbo00