Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Pasi ndefu inapigwaa baada ya Beki wa Yanga kujisahau lakini Ben Kakolanya anaiwahii palee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee. Amenifurahisha KakolanyaMtibwa wanapata faulu hapa... Kipa wa Yanga anawapanga wachezaji wake
Inapigwa faulu lakini Ben Kakolanya kwa uhodari wake anaunyaka vyema
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanatukana kimoyomoyo hapoWoooyoooooooooooo
Haya sasa wale wa Uturuki njooni sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Dogo kawa mvumilivu sana Jangwani,hana tamaa amevumilia sana benchi Jangwani bila kusahau milima na mabonde ya kifedha. Hongera yake sana na haya ndio matunda anayapata.Aiseeee. Amenifurahisha Kakolanya
Ahsante Mkuu, upande wa pili hapakaliki usajili bilioni mbili, kambi uturuki halafu matokeo sisimizi aibu yaoMpira umeishaàaaaaaaa
Yanga 2 Mtibwa 1
Yanga wanaondoka na point 3 Muhimu za mechi ya kwanza ya ufunguzi Ligi kuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawarudie wenyewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanatukana kimoyomoyo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee, ni hatari mkuu wamenuna balaa, Goli lilivyoingia kwa Yanga wakaja hapa kama kumbikumbi...sasa hivi siwaoniAhsante Mkuu, upande wa pili hapakaliki usajili bilioni mbili, kambi uturuki halafu matokeo sisimizi aibu yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani na msimu huu amekuwa bora hasaaa.Huyu Dogo kawa mvumilivu sana Jangwani,hana tamaa amevumilia sana benchi Jangwani bila kusahau milima na mabonde ya kifedha. Hongera yake sana na haya ndio matunda anayapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, nasikia kafa mutu hukoYawarudie wenyewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23]