Nimekuja kaka. Mambo ni Motoooooo
I make them squirt, like you! Squirt is a verb, squirtinator is a noun!
Hebuuuu.yanga wanalia njaa uwanjani hali ngumu
Alipata point tatu dhidi ya prison.
Amiin Kaka.
We ni mtendwa, sijui kuhusu nomino, kivumumishi wala kielezi.I make them squirt, like you! Squirt is a verb, squirtinator is a noun!
Hahahaaaa. Wataipata pata.
Safi. Hapa Yanga ana draw anapata point mojaAlipata point tatu dhidi ya prison.
Hahaha naona refa anawabeba tu jirani hakuna loloteHebuuuu.
Jirani umeoma tunachomfanyia Mtibwa lakini?
Hivi umeona shamrashamra zozote za ushindi wa jana? Tumezoea ushindi! Tuliona kawaida sana. Hakukua na jipya.Nyinyi na litimu lenu lilitoka uturuki kutalii Jana mmeshinda moja kwa mbindee mbona mlishangilia ....tena mumeshinda kwa tabu kama zote kwenye uwanja wenu wa nyumbani ...kwendraaaaa tuache tufurahi
Sent using Jamii Forums mobile app
radika, Zamaulid, Mgagaa na Upwa, Southern Highland, Songa Heri, Numbisa njooni jamaani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tunaitaka barca..[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Shem tumeshawafika Barca dooh
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa mchangani hamkosekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oyoooooo.
Maneno hayo tu..soka lipo uwanjani weweHahaha naona refa anawabeba tu jirani hakuna lolote