Yanga vipi?

Yanga vipi?

Nyinyi na litimu lenu lilitoka uturuki kutalii Jana mmeshinda moja kwa mbindee mbona mlishangilia ....tena mumeshinda kwa tabu kama zote kwenye uwanja wenu wa nyumbani ...kwendraaaaa tuache tufurahi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umeona shamrashamra zozote za ushindi wa jana? Tumezoea ushindi! Tuliona kawaida sana. Hakukua na jipya.
 
Back
Top Bottom