Kwaiyo tunune au...??? Alafu mambo ya yanga weweyanakuwashawasha ya nini?? Au unataka bwana..????Hii inaonyesha jinsi yanga ilivyoshuka. Yaani inaifunga Mtibwa tena wakiwa nyumbani alafu watu wanakenua na kufurahi kama kitu cha ajabu sana. Inasikitisha!
Hahahaaaa. Lazima kaka.
Nawaona aisee..hhahaaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaa. Lazima kaka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamoo Mkuu. Teh teh
Mmh. Tunajua hamkosi sababu ila mwisho wa siku matokea ndio hayoooooooHahaha naona refa anawabeba tu jirani hakuna lolote
Hahaaaa. Watakuja mpira ukiisha.
Itakuwa anasikiliza redioni huyooo.
utachambwa mavi....2-0 huko dk ya 47yanga wanalia njaa uwanjani hali ngumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] DaaahItakuwa anasikiliza redioni huyooo.
Hahahaaaa. Mpotezee Mkuu.Kwaiyo tunune au...??? Alafu mambo ya yanga weweyanakuwashawasha ya nini?? Au unataka bwana..????
Wanaoona tunabebwa waende Uwanjani wakachezeshe wao kama ni rahisi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Waliozoea ushindi yanga maana ilo kombe we we unaona umepata mwaka huu yanga kachukua tatu mfululizo sasa kuchukua Mara moja baada ya yanga kuyuamba kiuchumi imekuwa mmezoea...???? Aisee ama kweli maskini akipata matako hulia mbataHivi umeona shamrashamra zozote za ushindi wa jana? Tumezoea ushindi! Tuliona kawaida sana. Hakukua na jipya.
Utawaweza wabongo Dada? mwambie apige danadana 10 tu kama anaweza, sembuse kucheza uwanjani?Wanaoona tunabebwa waende Uwanjani wakachezeshe wao kama ni rahisi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hueleweki hata unaongea nini....sa ulitaka watu walie? andazi kweli weweHii inaonyesha jinsi yanga ilivyoshuka. Yaani inaifunga Mtibwa tena wakiwa nyumbani alafu watu wanakenua na kufurahi kama kitu cha ajabu sana. Inasikitisha!