Kwaiyo tunune au...??? Alafu mambo ya yanga weweyanakuwashawasha ya nini?? Au unataka bwana..????Hii inaonyesha jinsi yanga ilivyoshuka. Yaani inaifunga Mtibwa tena wakiwa nyumbani alafu watu wanakenua na kufurahi kama kitu cha ajabu sana. Inasikitisha!