[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawana hamu na Yanga
Ndio tuwaulizee...Wa mchangani aiseeHahaaaaa. Hivyo wanyamazage tu kwa kweli.
Hivyo wao walivyomfunga mtibwa 2-1 pia walibebwa?
Hatari katika eneo la yanga namna gani paleJirani kama kushangaa tungeshangaa kwa USM Alger banaaa. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
GooooooooJirani kama kushangaa tungeshangaa kwa USM Alger banaaa. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaah kumbeMaiti imepiga chafya. Marehenu kanyoosha kidole. Shughuli ya mazishi inabidi isitishwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefika dada anguradika, Zamaulid, Mgagaa na Upwa, Southern Highland, Songa Heri, Numbisa njooni jamaani
Mambo ni moto
Tunaongoza 2-1 hukooo.